Search

625 results for Jesse Mikofu :

  1. Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi

    Kikubwa kinachoangaliwa ni kubuni na kutengeneza mifumo inayotatua changamoto za jamii

  2. Upembuzi yakinifu waanza kuongeza kiwango cha umeme Zanzibar

    Kazi hiyo inafanywa kwa ushirikiano kati Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na Shirika la Umeme Zanzibar (Zeco) kwa kubadilisha nyaya zinazopeleka umeme kutoka Ubungo Dar es Salaam hadi Fumba...

  3. CCM yajinasibu kwa kuwa na hazina ya wazee

    Kavishe amesema hatua hiyo inajenga matumaini mapya kwao kuonekana wanakumbukwa, hivyo kuwa katika nafasi nzuri ya kuendelea kutoa ushauri wao.

  4. PRIME Othman akosoa mfumo wa utendaji nchini

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud, amesema katika mfumo wa uwajibikaji kila mtu analalamika hata mamlaka zenyewe

  5. Mali za Sh15 bilioni za watuhumiwa dawa za kulevya kutaifishwa Z’bar

    Kamishna Kanali Burhani Zuberi Nassoro amedai kuwa dawa hizo ziliingizwa nchini na wafanyabiashara wakubwa wa dawa za kulevya

  6. Wataalamu wa maabara wapaza sauti Zanzibar

    Utaratibu ulioanzishwa na Serikali wa kuendesha huduma za maabara za afya kwa utaratibu wa ubia kupitia kampuni na mashirika binafsi kwenye hospitali, umeendelea kuibua wasiwasi kwa wataalamu na...

  7. Dk Mwinyi awapa mbinu wahandisi utekelezaji miradi mikubwa

    Asema Serikali zinashirikisha taaluma ya uhandisi katika shughuli mbalimbali na kutoa mazingira ya kujiajiri.

  8. Wanazuoni, wataalamu waeleza faida, changamoto na maadui wa Muungano

    Sheikh Abeid Amani Karume na Mwalimu Julius Nyerere walikuwa na ndoto zao, zipo ambazo zinaendelezwa na nyingine zimefifia.

  9.  SMZ yatoa ufafanuzi kinachodaiwa hali ngumu maisha ya Rais mstaafu

    “Kwa hiyo si suala lakushughulikiwa nyumba yake tu, ni eneo lote la ukanda ule kuanzia Mazizini hadi Kilimani,” amesema.

  10. PRIME Chanzo ongezeko la vifo, ajali za barabarani Zanzibar

    Zanzibar licha ya kuwa na miundombinu ya barabara, bado ina safari ndefu ya kuziwezesha kuwa na sifa hiyo

Page 1 of 63

Next